Duration 5:4

Serikali yapewa mbinu za kuingiza fedha za kigeni

523 watched
0
2
Published 13 Jun 2020

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameishauri serikali kuimarisha sekta ya utalii nchini ili kurejesha hali ya uchumi kwa kuingiza fedha za kigeni hasa katika kipindi hiki cha janga la corona ambalo limeathiri uchumi katika mataifa mbalimbali duniani. #BungeniDodoma #KutokaDodoma #BungeLaTanzania Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 0