Duration 7:27

Mkurugenzi Mtendaji (TIC) Dkt. Maduhu Kazi na Mkurugenzi Mtendaji (ZIPA) waongea na waandishi.

274 watched
0
0
Published 12 Jul 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Dkt. Maduhu Kazi na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Bw. Shariff A. Shariff Waongea na vyombo vya habari wanavyoshirikiana kuhakikisha Uwekezaji unakuwa nchini kwenye Maonyesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) 11 Julai, 2021.

Category

Show more

Comments - 0