Duration 1:41

RAIS SAMIA ASHANGAA USAJILI WA LAINI NI KIINI MACHO, MBONA UTAPELI MITANDAONI UNAENDELEA

9 071 watched
0
42
Published 18 May 2021

Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kufanyika zoezi la usajili laini za simu kwa kutumia vidole, vitendo vya utapeli na wizi mitandaoni bado vimeendelea kushamiri Ameeleza, "Najiuliza ule usajili ulikuwa kiini macho au ni nini? Kwasababu kama tumesajili vile kila namba inajulikana, na kama kuna zisizojulikana zinatolewa na Shirika gani la simu?"

Category

Show more

Comments - 14