Duration 14:2

MWANAFUNZI ALIEACHA CHUO, NA KUTUMIA ADA YA WAZAZI KUUZA VIATU BILA WAO KUJUA HADI SIKU YA MAHAFALI

155 007 watched
0
1.4 K
Published 15 Feb 2021

Suzan British mwenye umri (24) binti alieamua kuacha Chuo akiwa mwaka wa pili akisomea Ufamasia bila ya Wazazi wake kufahamu na kuendelea kumlipia ada, na yeye kuitumia ada ya Wazazi wake kuanza biashara ya kuuza viatu huku Wazazi wake wakiamini mtoto wao anaendelea na masomo hadi hapo walipohudhurua mahafali yake 2020

Category

Show more

Comments - 487