Duration 9:2

KWA MACHOZI VIBARUA WA BONITE WATOBOA SIRI NZITO/ KUFICHWA KWENYE MAKONTENA/ WALIA NA MAGUFULI

6 685 watched
0
70
Published 15 Jul 2020

KWA MACHOZI! VIBARUA WA BONITE WATOBOA SIRI NZITO/ KUFICHWA KWENYE MAKONTENA/ WALIA NA MAGUFULI Wafanyakazi wa kampuni ya kutengeneza chupa ya Bonite mkoni Kilimanjaro wametoa kero zao mbele ya camera za Global Tv Online na kusema kuwa wamekuwa wakifanya kazi kwenye kampuni hiyo kwa miaka zaidi ya kumi na hawajawahi kupewa mkataba na pia wamekuwa wakifanya kazi kwa masaa mengi huku ujira ukiwa ni mdogo. Aidha hawakusita kutoboa siri kuwa viongozi au wakaguzi wanapokuja huwa wanafichwa kwenye makontena ili wasionekane. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 33