Duration 19:15

Ukweli usioujua kuhusu kanuni ya Pesa na Utajiri | Siri moja ya matajiri wote | Radi Ibrahim Nuhu

19 692 watched
0
223
Published 15 Jan 2022

Siri ya utajiri wa Diamond platnumz, Elon Musk, Bill gates, Jeff Bezos n.k Undani kuhusu elimu iliyopaswa kufundishwa mashuleni , jinsi gani mtazamo wako kuhusu pesa unavyoweza kuathiri upataji wako wa pesa na hata kuendelea kuwa nayo, leo tutaingia kwa undani kuweza kuielewa pesa, dhana potofu juu ya utajiri na mtazamo wa matajiri wakubwa katika kupata utajiri, Radi Ibrahim Nuhu SUBSCRIBE : /channel/UCRIlohC4_mOWN-eQs3QFnAg

Category

Show more

Comments - 58