Duration 6:22

Karibu ujionee bwawa la mfano wa JNHPP, banda la TANESCO Sabasaba: Mhe. Byabato

424 watched
0
7
Published 6 Jul 2021

Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato, amewapongeza watalamu wa TANESCO kwa kuweza kutengezea bwawa la mfano wa mradi wa Julius Nyerere MW 2115. Nakuwata watanzania watakao fika katika banda la TANESCO kufika na kujione mradi huo muhimu kwa taifa. Julai 6, 2021

Category

Show more

Comments - 1