Duration 10:10

Bila WOGA, SELASINI Amlipua MBOWE - NI MWAMBA, UKIMGUSA, UNAFUKUZWA CHAMA

135 520 watched
0
488
Published 28 Apr 2020

Bila WOGA, SELASINI Amlipua MBOWE - "NI MWAMBA, UKIMGUSA, UNAFUKUZWA CHAMA" MBUNGE wa Rombo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini ametangaza kuachana na chama hicho na kurejea kwenye chama chake cha awali cha NCCR Mageuzi mara tu baada ya bunge litakapovunjwa Juni 30, 2020. Selasini ametangaza uamuzi huo leo Aprili 28, 2020 wakati akizungumza na wanahabari jijini Dodoma na kuiomba NCCR impe nafasi ya kugombea ubunge kwenye jimbo lake la Rombo. Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye ‘Group la WhatsApp’ la Wabunge wa CHADEMA. Imeelezwa kuwa katika ‘group’ hilo yumo pia Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe. Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania http://bit.ly/exclusive_interviews

Category

Show more

Comments - 286