Duration 4:12

'Zitto utanifanya nini ninaweza kukuzuia usiongee hadi mwisho wa Ubunge wako - NDUGAI

540 976 watched
0
1.5 K
Published 13 Sep 2017

September 13, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza tena kamati ya haki, maadili na madaraka ya Bunge kumhoji Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe baada ya kuendelea kutoa maneno ya kulidhalilisha Bunge licha ya jana Spika kuagiza kuhojiwa kwa kauli hizohizo. Leo Spika amefunguka zaidi Bungeni kuhusu Zitto Kabwe na kumwambia ana uwezo wa kumzuia asiongee hadi mwisho wake wa Ubunge.

Category

Show more

Comments - 483