Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo amewata viongozi wapya walioteuliwa katika wizara hiyo akiwemo Katibu na Naibu Katibu kuepukana na suala la majungu hususani watakayokutana nayo TAMISEMI.
Jafo amesema wanasiasa wanashida kubwa ikiwemo ikiwemo makofi na watu. Pia amesema wizara hiyo ina mambo mengi.