Duration 46:7

Mwanamke aliyeolewa na ndugu wawili wa familia moja - Waridi wa BBC

61 303 watched
0
348
Published 21 Sep 2020

'Nilihisi mume wangu hanipendi,na wakati huo yule aliyeonesha kuwa ananithamini japo kwa siri alikuwa ni kaka yake mume wangu ambaye pia alikuwa ameachwa na mkewe' Simulizi ya bi Stella Mutahi, Mwanamke aliyeolewa na ndugu wawili wa familia moja. #WaridiwaBBC #Ndoa #Wanawake

Category

Show more

Comments - 164