Duration 1:52

Auwawa kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana, Iringa

886 watched
0
7
Published 6 Jun 2020

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Emanuel wa Mtaa wa Amani katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa amekutwa ameuawa kwa kuchomwa moto na watu wasiojulika. Tukio hilo imethibitishwa na Mwenyekiti wa Mtaa ambaye ameeleza kuwa wamepata tarifa asubuhi ya kumkia leo Jumamosi Juni 05, 2020 lakini sababu ya kuuawa kwake bado hazijajulikana. #mauaji #ukatili #mufindi #mauajiiringa #azamNews #azamtvupdates Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 0