Duration 8:55

LIVE: MSIBANI, DKT ABBAS ATOA RATIBA YA KUAGA MWILI, ATAJA NCHI ZILIZOTUMA SALAMU ZA POLE

3 130 watched
0
15
Published 25 Jul 2020

🔴#LIVE: MSIBANI, DKT ABBAS ATOA RATIBA YA KUAGA MWILI, ATAJA NCHI ZILIZOTUMA SALAMU ZA POLE... Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt Hassan Abbas amefika nyumbani kwa Mzee Mkapa kwaajili yakutoa pole ambapo ametumia fursa hiyo kutoa ratiba ya jinsi watanzania watakavyoaga mwili Kesho Julai 26, 2020. Julai 24, 2020 majira ya saa 6:25 usiku rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli alitangaza Msiba Mkubwa uliolikumba Taifa baada yakutokea Kifo cha Aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Benjamini William Mkapa na kutangaza siku saba za maombolezo kwa Taifa... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 0