Duration 16:19

WANAKIJIJI WAJA JUU/WALIMUOKOTA MTOTO ANAYETAMBAA/MTOTO AMEKUWA MKUBWA AJITOKEZA BABA NA KUDAI MTOTO

17 480 watched
0
200
Published 19 Apr 2021

Ni kutoka Mkoani Tanga katika kijiji cha Malamba ndipo tukio hili limetoke ambapo Wananchi wa kijiji hicho wamekuja juu baaba ya kujitokeza mtu akidai yye ni baba wa mtoto huyu Tizama tukio hili hapa kisha utoe maoni yako #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Category

Show more

Comments - 143