Duration 00

FRED VUNJABEI:NAI NI PISI KALI/ALINICHEKI DM JANA/HAMISSA NIMEMU UPGRADE ANA ENJOY KUWA SINGLE

161 622 watched
0
1.6 K
Published 14 Oct 2020

Category Entertainment

Show more

Comments - 203
  • @
    @afandehassan14 years ago The interview is more educative than entertainment. Keep it up fred. 6
  • @
    @amosmahona4333 years ago Genius, you inspired me sasa hivi ninabajaji tatu mpya iko siku nitafika huko wacha nipambane. 3
  • @
    @EastCoasTGorilla904 years ago God bless you more freddy. Keep it up.
  • @
    @mahmoudaziz47174 years ago Dah jamaa yuko poa sana. Anawasaidia vijana big up fred. 22
  • @
    @malmavoice89893 years ago Wasafi mnafeli wapi kuleta interviews ndefu kama wanazofanya wengine, zaafu lile pindi la block 89 linarudi lini ndo lilikuwa na pindi tamu kama hizo now pindi zenu za the switch mgahawa na good morning zimekaa kibaba baba sana masela hazituvutii. Hatupendi kugawa mb zetu sehemu mbalimbali hebu angalieni kiu zetu tuzimalizie humo zote. Anachofanya aliah, mchaga org na mo town sanya vitamu lkn vifupi mno kwa mtu mmoja, au mmeridhika wazeeiya?. ...Expand 1
  • @
    @jerrydavid86294 years ago Ww ni mwamba sana broo unajua sana kuwajibu hawa wambea. 9
  • @
    @milkaauma63124 years ago Ukiwa na hela lazima busara zifate uko sawa mzee baba vunjabei. 4
  • @
    @user-ij5ig4uu1y4 years ago I love this man he' s educated sio wa kuropokwa kama wengine. 17
  • @
    @ramsonrugonzi82494 years ago Aiseh kumbe hyu mwamba ni economically generous, 30
  • @
    @karimomari46323 years ago Safi san kiongoz mara nyingi nasema wew mkali wa (knowledge) 1
  • @
    @elishaworkout61163 years ago Nakukubali kaka angu, yaan unaajiliwa kidog unapata gap unatembea icho kitu nakiaply. 1
  • @
    @WivianRich3 years ago Woyooo, kupanda grade huko toto ya mobyetto ni suala lingine kwa fredy vunjabei. 2
  • @
    @ernestkilaryo10154 years ago Tuletee minguo mwanza, tujimimine in @babalevo voice. 3
  • @
    @nurdinisalum36514 years ago Frank knows ndio mdogo wake wa damu huyu ni patina na frank. 15
  • @
    @aishaabubakari1834 years ago Watz jaman mnanini mtu akifanikiwa kwenye maisha basi mshirikina yani mtu kila cku unahangaika kutafuta pesa ukifanikiwa basi feermason jaman kila 1 na ridhiki zake. 2
  • @
    @salymkitumbika86444 years ago Too much ustaarabu + too much akili = too much mooney, safisanaa brother. 32
  • @
    @manduatechnology10553 years ago Braza fred nakukubal san unanifany nifight san niwe kam wew broo. 1
  • @
    @nicklassshaypanga87943 years ago Mhh kaka usitudangaye hyo bhanaa shemejii yenuuu. 1
  • @
    @khatibabdallah61854 years ago Jamaa yuko vizuri mnoo, tatizo vijana wengini mazoea mabaya na kukosa ubunifu tunakimbilia kusema freemason ni undava wa kipumbavu sn. 17
  • @
    @robymtewele77603 years ago Daa unajibu maswali kiakili sana nimekukubali.
  • @
    @jumarwambo74204 years ago Broh nimejifunza kitu kwenye hayo maongez. 3
  • @
    @ricomediatz4 years ago Logo ya mic imegeuzwa du umakin kidogo. 7
  • @
    @johnrogath10664 years ago Jamaa yuko vzuri sana very inspirational. 8
  • @
    @leonardkahaya90064 years ago Kila mwenye hela kwa namna flan utaona an akil(smart) 15
  • @
    @zabibunduwimana46124 years ago Bro yuko vizuri kwa kuongeya aliya kwa umbea. 1
  • @
    @salamamohammed54464 years ago Vunja bei na mobet eti n. Mtu na shemu aaa wapii. 8
  • @
    @ghostelmendez72064 years ago Fredy ni mr genius. Yuko vizuri sana ana akili mingi mno. Anavyongea hakurupuki
    too much money.
    8
  • @
    @hamisikalulumbe68574 years ago Daa uyu jama ndio ma brother wakukaa no kukupa madini kama haya. 14
  • @
    @nicholausmkolwe77654 years ago Napenda sana mngu akulinde na akufikishe mbali kimaisha uko phw kaka kwa japo ckujui naimani ni mtu wa watu, kaz njema. 1
  • @
    @isackbaton82614 years ago Kwa kwel hata mimi ni mtumishi wa uma ila huku ni utumwa. 2
  • @
    @hollymore49044 years ago Huyu mtangazaji kila muda " you know you know you know you know. 2
  • @
    @hakitv47174 years ago Jamaa sio freemasonary kwanza asingeweka wazi hizo siri za kibiashara namna hiyo! Halafu note point 1! Wakati wa corona ilipozingua. Ametaja economical . ...Expand 43
  • @
    @jedidahbintidaudi82414 years ago This channel have asked good questions, but try to be more innovative, ask intelligent questions ili vijana tupate kujifunza, social relationships are . ...Expand 4
  • @
    @thomastairo20214 years ago Huyu jamaa nimemsikiliza kwa makini ni mpambanaji. 10
  • @
    @trio99114 years ago Sasa c umeshawataja io watatajwa tena vipi?
  • @
    @nelsonmataba14264 years ago Huyu jamaa kwa upande wa biashara ndio rol model wangu + lissu. 7
  • @
    @shaqdizo76784 years ago Bro nimekukubali maongezi yako ningependa sana one day nionane na wewe unipe madini ya kibiashara nina uwezo wa kufanya investment, hiyo biashara ya mbao imenivutia ningependa sana kupata more details about it. 13
  • @
    @ramadhanimsowello90214 years ago Anae amin wewe freemason na yye aende akawe freemason awe tajiri kama laic. 5
  • @
    @iddimngazija19573 years ago Akili za wa tz wengi hawaamini kama unaweza kufanikiwa bila ndumba.
  • @
    @erickchitojo69334 years ago Katika haya maongez hapa kama mtu ukiwa makini unatoka na mawazo na mbinu za kibiashara. 3
  • @
    @badmanno.16504 years ago Huyo fred amesoma finance. Ogopa sana hao watu wa economics. Hao ndio wanaajiri watu. 10
  • @
    @nicholausmkolwe77654 years ago Huyu kaka sio sil hapend mambo yake kila mtukwakwel kwanza ni mtu anae jitambua. 7
  • @
    @loner_wolf3 years ago Vunja bei nicheck nikupe kichwa ya rap inachana sana.
  • @
    @aminamwanakombo20974 years ago Mimi huyu jamaa simjui but anajielewa sana. 3
  • @
    @mabulangassa74393 years ago Vunja bei namtabili atakuja kuwa kama ginimbi kifedha. 3
  • @
    @goodlucktemu31494 years ago Ivi kwanini ukiwa auna ela unaona wenye pesa wanatumia pesa vibaya. 32
  • @
    @fatmakache6324 years ago Black is handsome ktk wanaume bongo huyu fred vunja bei ananimaliza mie natamani japo kumuona tu. 3
  • @
    @faridaessa78444 years ago Fred vunja bei ningependa umuoe hamisa. 12
  • @
    @loner_wolf3 years ago Mbna maswali ya kisenge tu. Sasa mahusiano ya mtu vepe. 1
  • @
    @barbiechemmy21373 years ago Fredy anaongea vizur jamani uwi. Nioe bas kaka. 2
  • @
    @patriciacarlo72364 years ago Ukimuangalia huyu kaka alivyo smart ukiangalia pembeni una mwanaume mbishi hajui kupanggilia pesa, unasikia hasira. 14
  • @
    @marinamooh40554 years ago Jamani anajuwa kuongea mpkbro vunjabei kuwa rafiki mzuri wa mobero. 9
  • @
    @juliaayieta25784 years ago Aliyah, hapo kwa wifi yetu umepasema na umbea mwingi. 6
  • @
    @kutokaughaibuni4 years ago Hii mic logo imegeuka for long time eish sijui ni kitu gani videographer huoni aisee. 3
  • @
    @saumuhassan63654 years ago Hatare sana mzee baba nimependa rangi yako. 4
  • @
    @mwaminramadhan49594 years ago Katika maswali mnafeli sana igeni sns wanauliza maswali una enjoy. 12