Duration 3:22

NI IPI HUKUMU YA KUSOMA ALBADIRI SHEIKH MZIWANDA

29 060 watched
0
211
Published 22 Nov 2020

Clip hii imetokana na mada Sheikh Muharram Mziwanda katika kipindi cha Fadhikkir cha tarehe 6/11/2020, Mada ikielezea MTUME MUHAMMAD (S.A.W) NI KIONGOZI WA KIPEKEE.

Category

Show more

Comments - 121
  • @
    @AkicOnlineTV2154 years ago Hongereni sana kwa kuelimisha jamii allah awalipe kila lakheri na awahifadhi. 4
  • @
    @khadijaiddi48874 years ago Kweli kabisa sheikh km ulivyo sema allah anajua zaidi
    jazakallah kheir.
    3
  • @
    @faridithomas48593 years ago Masufi waliomzidi kishki elimu! Sheikh mziwanda anajitahidi sana. 2
  • @
    @ayyamirubba52262 years ago Allah amjaize kheri sshaikh mziwanda kwa ya kheri anayo tujuza.
  • @
    @jafarisimchawionlinetv91684 years ago Shukran sheikh mzeiwanda allah akuhifadhi kwakua mkweli ktkdini hii. 3
  • @
    @muthsiboy83312 years ago Tafakari! Usikubali kuambiwa hakikisha jambo kwa undani zaidi.
  • @
    @kingdullah9233 years ago Kwa nn utoe jibu kwa jambo huna elmu nalo. Hakukuwa na haja kutoa jibu kama ulivyosema allahu a3lam basi ungetosheka na hilo sababu mola ndie mjuzi zaidi. 2
  • @
    @canoksancomprehensivelearn7182last year Watu wa shirki huwa hawakubali haki wataitetea hata kamakuwa hii ni haramu maana allah kawapambia mabaya wayafanyayo wayaone mazuri na hata wakisikia wataona wao na albadir yao wapo sawa wataifanya mpaka wakutane na mola wao wakiwa madhalili. Allah humuongoza amtakaye na humuacha apotee amtakaye. ...Expand
  • @
    @muthsiboy83312 years ago Ukiona mashekhe kama huyu na ukipima na sira ya mtumi na visa vya qur' aan ndio utawajuwa ni waking nani hivi mtumi s. A. W. S hakuitwa mchawi? Mitumi yote hawakuitwa wachawi? 1
  • @
    @muthsiboy83312 years ago Hata zama za mtumi kulikuwa na waislamu lakini walimpinga na kujenga msikiti wao. 1
  • @
    @muthsiboy83312 years ago Sasa tafakari kama mtumi alikuwa na wapinzani kando na makafiri, mayahudi, manaswara, waislamu tu ambao kwamba kupitia mtumi ndiyo wamejua uislamu.
  • @
    @noorululaatv89733 years ago Shekh mziwanda umejibu bila inswaaf. Kwa kuwa intavieuw yko yafanywa kituo cha mawahabo.
  • @
    @husseinkassimal-ahdaly.38244 years ago Umenunuliwa na kishki online tv. Kutoa kipande hicho cha video. Hujatoa dalili aya wala hadith. 2
  • @
    @muthsiboy83312 years ago Dhahabu nikitu thamani sana lakini iko kwenye michanga, hatuta itupa dhahabu kwa sababu ya michanga tuta chuja michanga kisha tuchukue dhahabu.
    navilevile . ...Expand
  • @
    @husseinkassimal-ahdaly.38244 years ago Kwa hapo tu shekh mziwanda umexhemka. Umeshindwa kubainisha kati ya dua n kutawasali katika dua kupitia majina ya watu wema. Leo unaiingiza majina ya albadiri katika shirk. 1
  • @
    @muthsiboy83312 years ago Usiseme allaahu aalam na ushatoa hukmu. Sema anaa aalamu tena bi swaabi wewe umeshinda hata mufti.
  • @
    @msafiridiary2 years ago Albadir ni shilki kwa macho ya kawaida na maskio haina kupinda pinda ustaz kanyoosha maelezo.
  • @
    @hamadatahir93074 years ago Sheikh mziwanda urudi tena kutufahamisha kati ya albadiri na ahlulbadri. Jee kusoma albadiri pengine ni shirki jee kuwasoma au kuwataja ahlalbadri napo ni haramu. 2
  • @
    @sharifisangyo80383 years ago Shehemziwanda wewe nimsomikweli wahakika
    walioutetea
    uislamu kuweuchawi
    sikuhukumu.
  • @
    @abdulazeezabdulazeezkwembe35694 years ago Fat' ha bila ya dalili nao ni msiba. Haya mambo ya mimi naona nadhani ni km mambo ya kichaw sijui na vikorombwezo kibao jmn tuitia fitna dini yetu . ...Expand
  • @
    @arqamibnarqam.71854 years ago Sheikhzaidi utofauti kati ya albadiru na ahlulurudi utufahamishe hilo. 3
  • @
    @muhammadmpoyamboya24232 years ago Hii ndio raha ya uislam. Ukijibu kwa matakwa yako wewe. Watu hawakuelewi hata ukawa msomi kiasi gani ukiteleza watuila tusimuhukumu maana kashasema kwamba kimtazamo wakeyeye. Hajajibu kwa dalili.
  • @
    @jamalbahdela5244 years ago Kujibu kw kumridhisha aliyekuuliza bila dalili hatukuelewi.
  • @
    @hakimhakim96313 years ago Asmau ahlul badr si uchawi kimsingi ni tawasul ila hwenda tu weng wanotumia hutumia kwa mambo yao ya ubaya.
  • @
    @muhammadkhatwablast year Albadiri si uchawi
    ni ahlu badr yaani maswahaba waliopigana vita vya badr
    tunatawassal nao
    kenya hatuna mambo ya sindano wala ndimu ni dua tu.
  • @
    @jailaniramadhan17882 years ago Yaani we mziwanda kwa kujiproud kwako kote kule kuwa unasomesha vitabu zaid ya 20 kumbe haujui chochote? Kama ww hauna ilim ya jambo kwann ulitolee fatwa?
  • @
    @husseinally55502 years ago Hii ni ajabu kabisa. Shekh unatoa fat' wa kimtaani kabisa. Hivi ukikaa na wasomi utatoa hivo hvo auusulul fiqhi hukubahatika kuisoma angalao ukapata njia za kupita wkt wa kutoa fat' wa?
  • @
    @husseinkassimal-ahdaly.38244 years ago Na albadiri sio lazima ndim indano nyembekusomwa tu kavu kama tawasul na mungu akaitika maombi. 2
  • @
    @ahmedmohamed-wm5ec4 years ago Hili swali jibu limemshinda huyu mufti kasem inafaa wale ni watu wa vita vya baddri 313 ukisom suo km unawaomb wao n i unatawassal kupitia kwao tukawaach . ...Expand
  • @
    @jailaniramadhani76284 years ago Haujui al badir ni tawasul kwa watu wa vita vya alhadri.
  • @
    @selemankishema57803 years ago Majibu hayakinaishi kabisa angalau umegundua kuwa ni makosa hicho kisomo cha ah- l nyingi zetu waislam hawakubali kabisa kuweka wasomi sijui kwa nini? Lakini wakitaka wataalamu wa kuwafungia mitambo hawaendi kuwachukua mafundi bomba ila kwenye dini sasa ndio mitihani kweli mradi upige joho tu na kofia Allah almustaanu. .. ...Expand
  • @
    @alqaasim_a_tz24124 years ago Swahiyh kabisa albadri ni ushirkina na kufru tupu.
  • @
    @shamsiaabdul86794 years ago
    Halbadiri kimsingi si uchawi.
    Ni tawassul. Tunajua tunaikhtilafiana katika swala zima la TAWASSUL.
    1
  • @
    @hasamjebe46854 years ago Mh mm sina elimu lakini we shekhe cjajua ni njaa au uonekane au umenunuliwa cjui, umejibu kwa mtazamo wako au duh, ndio maana tunaambiwa tusome, ukisoma . ...Expand
  • @
    @aishaarusha8943 years ago Mziwanda unapata zambi albadiri ni kisomo. 1