Wiki ya sita ya kuwatafuta washindi wa promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa imekamilika na kama umepitwa na yaliyojiri, bası usiwe na wasiwasi, kipindi hichi kitakujuza yote kuhusiana na wiki hii ikiwa ni pamoja na safari ya kuwatafuta washindi, kuwakabidhi zawadi na namna gani unaweza kujishindia zawadi ya bodaboda, bajaji au gari jipya kabisa la mwaka 2021 kila unapotumia M-Pesa.#twendemjininampesa #pesanimpesa
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Yaliyojiri ndani ya wiki ya sita ya promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa: