Duration 31:53

Jinsi ya kupika 'Pasta with Meat Balls' | Pika na Babysky

11 801 watched
0
223
Published 1 Feb 2020

MAHITAJI / INGREDIENTS; Jinsi ya kutengeneza meat balls; 1. Nyama ya kusaga 1/2 2. Yai Moja 3. Kijiko kimoja cha Tangawizi 4. Kijiko kimoja cha chakula cha kitunguu saumu 5. Unga wa mkate wa kukausha 6. Parsley (majani kidogo tuu) 7.Chumvi Changanya vyote kwa pamoja na utengeneze viduara vya nyama!! MAHITAJI YA PILI; 1. Vitunguu viwili 2. Nyanya 6, isage 3. Tomato paste kikopo kidogo kimoja 4. Pilipili Hoho moja 5. Karoti moja 6 vijiko viwili vya Butter 7. Majani ya vitunguu (fresh) 8. Majani ya Coriander (kidogo tuu) 9. Fettuccine Alfredo (Pasta) 10. Maziwa nusu lita 11. Cream ya Pasta 12.Swiss Cheese 13. Mozzarella Bake 20 minutes 180°C / 360°F Chakula chako kipo tayari

Category

Show more

Comments - 89