Duration 6:11

Jinsi Rosemary alivyoshinda MILIONI 204 Jackpot ya MOJASPESHO

2 763 watched
0
10
Published 17 Jul 2018

Rosemary Onesmo Luhamo ameandika historia baada ya kushinda MILIONI 204 katika droo ya 29 Mega Jackpot ya Mojaspesho iliyochezwa Jumamosi ya tarehe 14 mwezi wa saba mwaka huu mubashara ITV na CLOUDSPLUS. Mamilioni ya watanzania walishuhudia jinsi droo hiyo ilivyofyatua mshindi ambae alikua ndio wa kwanza kabisa kunyakua kiasi cha pesa hiyo. Mojaspesho ni mchezo wa bahati na sibu ambao unatakiwa kubashiri namba 3 za bahati ili ushinde na ni mchezo unaovuma kwa kasi sana nchini Tanzania kwa sasa. Jinsi ya kucheza ni rahisi Ingia kwenye menyu yako ya mtandao unaotumia ikiwa M-Pesa, TigoPesa, AirtelMoney au HaloPesa alafu 1. Ingia kwenye kulipia bili 2. Weka namba ya biashara / kampuni 123255 3. Ingiza namba zako 3 za bahati kati ya 1 hadi 9 4. Kisha malizia kwa kuweka kiasi kuanzia Elfu1 mpaka Elfu50 Subiri baada ya dakika 10 na utapata ujumbe mfupi wa matokeo ya droo uliyocheza.

Category

Show more

Comments - 3