Duration 18:55

PATANISHO : ALINIACHA BAADA YA KUPATA AJALI

31 115 watched
0
290
Published 2 Jun 2021

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika #RadioJamboKenya Subscribe to RadioJambo Youtube - https://bit.ly/39wwc6u Mitandao ya Kijamii Instagram - https://rb.gy/e154d1 Facebook - https://rb.gy/09d1b9 Twitter - https://rb.gy/e23220

Category

Show more

Comments - 138
  • @
    @gakurenjaria59963 years ago I feel him 3 days is too much for people in love. Love is complex. 5
  • @
    @badifamwenyewe83013 years ago Ghost anasema ukweli kabisa 3day ni mob in love. 8
  • @
    @kevohwapipelinetransami43513 years ago Ooh my i feel him for sure aki woiyee pole. 14
  • @
    @user-sf5je4ge2q3 years ago Dalili ya mvua ni mawingu kijana ukiachwa kubali na maisha iendelee kama ajali. 2
  • @
    @maagiy82673 years ago Pole kijana, wasichana wa sikuizi wanabadilisha ka nguo, vile wengi fb. 2
  • @
    @fredinahjohn11503 years ago No break in relationship kwanza hii kitu ya kusoma text zangu and you ignore i hate it with passion heri useme issue place iko we solve tusonge mbele kama injili or else. 5
  • @
    @estherkeli55623 years ago Pole sana ndugu nakuombea ufonyaji waaraka.
  • @
    @angiejacks18352 years ago Mimi i get checked on hourly my friend.
  • @
    @estheralbrechtsen89992 years ago Mapenzi ya wazungu imefika kenya. That good. Gidi yani huamini. Hivyo ndivyo mambo ya love ilivyo.
  • @
    @marywanga70773 years ago Gidi 3days ni mob mimi hata nikimuona online na haongei pressure yapanda yawaatwaita mapenzi ya kunguru. 4
  • @
    @theunforgettable67823 years ago Uyo dem amemtoka, the guy can feel it. 1
  • @
    @kipkoechmutai483 years ago Kikale tunasema " ngwan chito ak chito e, yon jome kojome" 1
  • @
    @jeremiasagostinho52722 years ago Huyo mwanamke alikua hayuko zaidi kimapenzi kwani yeyote anayekata mahusiano baada ya halifulani kujitokeza basi anakua alikua anahitaji kitu fulani wala sio mapenzi naweza nikamuita opportunist, philippe from mozambique.
  • @
    @denilsonmecha23703 years ago Mimi after 2hrs kama hajapiga nakuja patanisho. 2
  • @
    @mkmwebia36893 years ago Hiyo ya jana mnasena mbona hamkuileta youtube. 2
  • @
    @bettysadia3223 years ago Wengine tunakaa mwezi na huyu ako tu ma 3days! That kind of love can chock you. You need to miss someone. 1
  • @
    @jamesgathaiya64503 years ago Melody amechoka ni venye hataki kusema. 3
  • @
    @godsfavour56653 years ago Aiii sasa kupigiwa simu ndio noma yawaa. 1
  • @
    @ruthwaithera26503 years ago He' s in love. But the signs with the lady huyo hana haja ya chali. 3
  • @
    @mamayaoharistar45993 years ago When a luo loves he loves for rellygidi eti hiyo wimbo. 1
  • @
    @jawaherkaseyi37673 years ago Break itakuaje tu wakati shida imepata mwwnzako? This is the time yakumjulia hali. 1
  • @
    @godsfavour56653 years ago Weee mapenzi ya sikuhizi ni kama mchezo ya pata potea wah. 1
  • @
    @rosenafula27573 years ago Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. Huyu mwanadada hata akioleka she will not settle in marriage the time kuna ugumu. 1
  • @
    @meinray3 years ago Ndio wameanza kudate. The relationship is still young and new so just understand them.
  • @
    @cleophasayiro103 years ago Kwa nn men huwa wanalilia wanawake kwa ukweli, ladies wako wengi wenye wako single, so wats the problem with us sually. 4
  • @
    @penny43103 years ago Huyu dame kuna mtu anasoma katiba, na aki pata his beter than the fiance atangoa, 3
  • @
    @linetnekesa80193 years ago Kama uko hapa kanairo sahau hii kanairo imebeba migora tupu bro pole akufaaye wakati was shida ndiye rafikl was kweli hapa tulikuja kutafta pesa mengi e mashambani c hapa. 3
  • @
    @kambaprincess18063 years ago Wegine tunatafuta true love na wegine hawatakigod give me a man who is serious and i wanna treat him normally. 2
  • @
    @josephngara7333 years ago Wewe gidi bwana mulei ako right, pia yeye ni msick ata kumjulia hali? Ama amepika.
  • @
    @charlesmuriungi45473 years ago Gidi shld let gost also tu run the show. Dont be so selfish. Umeweka gost baridi sana.
    ujaluo itatuwa yawah.
    3
  • @
    @kinjokamau53803 years ago Ngai. So nijue kwangu pia kuna red flag.
  • @
    @lucykimani30473 years ago Aaaai mulee naku eka, these talking ya kila saa ina choke.
  • @
    @bettiejoy-mtotowamama3 years ago gidi wacha kuchukulia kirahisi, mtu mmezoeana kuongea kila time/siku alafu ghafla amekata mawasiliano adi msg hakuna reply? Ai hapo kuna kitu. Mimi na ghost tukosiku moja na patwa na wasiwasi. 11
  • @
    @amyskitchen_jikoni3 years ago Huyu lady hampendi jamaa anatafuta kisababu amtoroke. The guy should have a spare (in case kuwe na break up hautakuwa heart broken sana) 3 days bila kukosana or rushiana maneno makali.
  • @
    @makenamiriti61463 years ago Dame hana aja na chali, kuna ile kitu alikuwa na aja nayo. 2
  • @
    @hassanbinadow11909 months ago Nimekubali bw ghost anajua mengine kuhusu mapenzi aki 3days bila kuongea tena unatuma ujumbe no reply bro nakuambia that' s not good sign anza kutafuta mwingine my friend.
  • @
    @xjxjxnxn26733 years ago Giddy inafaa uwe na vile inasaidia pia walio na shida ya kifetha. 2
  • @
    @irenemauti8833 years ago Pia mm 3days ni mingi wee gidi kwani mlikuwa mnakaa aje na wife yko. 1
  • @
    @mainamaish23283 years ago Gidi mimi one day nasikianga vimbaya kama mtuone day na niko saudi hadi nasema nitapinga uku nijue shida ningani. 2
  • @
    @salmahussein35833 years ago Mwanaume anataka kupigiwa simu every second tuma credo kwake may be hana doo. 5
  • @
    @kwahmah2303 years ago 3days na chali yake ni mgonjwa ghost niko side yako gidi huwa anajifanya mjuaji saana. 3
  • @
    @ririkenya65743 years ago Watu wa gulf munakuanga na mushene ni lazima mtuambie penye mko ama mnataka tuwaambie mtutumie pesa tuomoke pia sisi. 3
  • @
    @heavenlyjoylillian7953 years ago Gidi kwa rlshp hakuna break bwanawacha wewe mimi hata nikikuwa ignored hata 30minutes naskiaga nimewachwa mbali, heri kuambia mtu if you need a break. 2
  • @
    @tiktokheroes42563 years ago Na agree na ghost gidi usichukulie mapenzi hivi inauma aki.
  • @
    @ibrahimwerejuma48163 years ago Hapa gidi na ghost hakuna mapenzi mimi nawambia ukweli. 1
  • @
    @jojojoy14473 years ago Ebu nipee number ya ouma i' m single. 1
  • @
    @joneskahi35373 years ago Kijana uliachwa let' s not keep u in hope.
  • @
    @yassminzaid3033 years ago Huyu msichana alikuanga after money and now huu chaly ameumia hana doo she is trying to avoid him but she doesn' t want to come out and say the truth, . ...Expand
  • @
    @loiceomwola74513 years ago Maswali ya gidi wee! Dawa tosha. Gidi umeshinda pastor' s na chief' s. Ghost kicheko.
  • @
    @chullakoi15083 years ago No 1 leo, na huyu bro ajipanga ju mwana dada anasema hakuna shida mbone amekata simu?
  • @
    @kambaprincess18063 years ago Sio normal gidi. Akikosa kuchukua simu and they talk na hareply text kuna sababu. Kama ako break agefaa kuambia jamaa. But hio ya kujipea break tu hvo kuna reason. Gidi we unacheza. Hata one day ni kubwa.
  • @
    @charlesmuriungi45473 years ago I wonder why men cry for women? Why domt yu look for another woman? 2