Duration 5700

NAMNA YA KUTUNZA MAZINGIRA KWENYE MIRADI YA MIUNDOMBINU

113 watched
0
0
Published 14 Apr 2021

#Sebuleni #ZaidiNaZaidi Jumatano hii Kwenye Sebuleni ya Plus TV na Gift Swai, Sikawa Junior & Kevin Lameck tutaangazia ni kwa namna gani tunaweza kutunza mazingira yetu hasa katika kipindi hiki ambacho miradi mikubwa ya maendeleo inaendelea kwenye maeneo tofauti tofauti nchini. Usikose kuanzia saa 1 hadi saa 4 kamili za asubuhi LIVE on DStv channel namba 294.

Category

Show more

Comments - 1