Duration 14:32

PROFILE: AJALI Kubwa za MELI Zilizowahi Kutikisa Tanzania

214 960 watched
0
508
Published 25 Sep 2018

#MVNYERERE #MVBUKOBA #AJALIZAMELI SIMANZI! Meli Zilizowahi Kuzama TZ Na Kuua Watu Wengi Zaidi Wakati bado watanzania wakiwa kwenye maombelezo ya kuwaombolezea mamia ya watanzania kuzama katika kivuko cha Mv Nyerere turudi nyuma kidogo tukumbuke miaka Miaka 21 iliyopita ambayo haitaweza kusahaulika kwa urahisi kwenye mioyo ya Watanzania Ulimwenguni kote, hasa yanapotokea matukio kama hayo kwani usiku wa kuamkia Mei 21, 1996, meli ya MV Bukoba ikiwa na abiria kati ya 750 na 800 pamoja na wafanyakazi 37 ilizama majini kwenye Ziwa Victoria mwambao wa Bwiru Jijini Mwanza ambapo ilikuwa takribani kilomita 30 kufika nchi kavu. Ripoti ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha hiyo ilieleza kuwa, kati ya hao, 114 waliokolewa wakiwa hai; wakati 391 waliopolewa wakiwa wamefariki na kuzikwa katika makaburi ya Igoma barabara ya Musoma, nje kidogo ya Jiji la Mwanza. Miili mingine ilichukuliwa na jamaa kuzikwa kwao. Jumla ya miili 332 haikupatikana. http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ...

Category

Show more

Comments - 292