Duration 14:13

GOOGLE PIXEL 6 / 6 PRO HII KWENYE CAMERA HAISHIKIKI KABISA

1 185 watched
0
11
Published 17 Nov 2021

Yeah hii ni google pixel 6 hii ni simu mpya kutoka Google. Kwenye industry ya smartphone google wamekuw wakiachia hizi smartphone za pixel japokuwa kwenye soko la bongo hazija vuma kihivyo na sio ajabu kama Ndo mara ya kwanza unasikia hizi simu za google kwasababu wengi tunajua google ni kampuni la matangazo wana pixel 1,2,3,4,5na mwaka huu ni pixel 6. Ina design tofauti kama unavyo ona kwenye camera bamp na inakuja na chip mpya ya kwanza kutengenezwa na google wenyewe TENSOR. Simu za pixel zote kwenye swala la kupiga picha kali hazijawahi shikika na kwenye hizi simu mpya za pixel 6 zimeendeleza ligi ileile ya picha kali na maujanja mengine Zaidi lakini ina shida zake pia. Na zote tuta ziongelea kwanza tucheki bei zake hapa kuna simu mbili pixel 6 ni $566 na pixel 6 pro ni $899 kwahizi bei zake ziko fresh kuliko I phone 13 sokoni zenye bei za hatari! Ooh! Na hii pixel 6 pro ndo flagship smartphone ya kwanza kutoka google na tutaona kama je? Google wamefanya maajabu kwenye flagship yao yakwanza. Android 12 Haya Nimabadiliko Makubwa Kwenye Android. /watch/omPdwHvwtgLwd MT gadget hub: /playlist/PLi7nttBdg4s98wLW15eD-JYd-bXxIg1q_ Social media ➰Twitter http://bit.ly/maxtechtvtwitter 💥Instargram http://bit.ly/maxtech__tv #Pixel6 #Pixel6pro #google #smartphone2021 #MTgadgetHub #maxtechtv

Category

Show more

Comments - 0