Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
/watch/AEB06hqV3uPV0 --~--
Muda ni maisha, ukipoteza muda unapoteza maisha yako, sasa kuna vitu vingi sana tunafanya katika maisha yetu vinatupotezea muda mwingi sana bila hata wenyewe kujua. Tusipokuwa makini kutambua wapi na vipi tunatumia muda wetu basi tujiandae kuwa na majuto makubwa sana mbeleni kwani muda ni kitu ambacho kikipotea hakirudi tena. UJANA NI MOSHI.....
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/
TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne
FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne
LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#ShortLife #SucessPath #EzdenJumanne