Duration 4:43

MZEE UPAKO KAFUNGUKA BEN PAUL KUBADILI DINI HAKUNA UGOMVI

42 092 watched
0
495
Published 24 Oct 2020

Category

Show more

Comments - 255
  • @
    @khalifasultan26774 years ago Aisee well said! Umeongea vitu vipo sawa sana mzee wa upako! Tusijenge ukabila wala udini, 25
  • @
    @wilbertkigulu2824 years ago Nimekuelewa sana mzee wa upako somo jema kwa jamii! Ubarikiwe sanaa! 7
  • @
    @awadhirajabu68334 years ago Mzee sema yote lakini ili kundi lenye kubadili dini kwasababu ya kuoa mke awana hata udini pumbavu zao badili dini kwasababu ya kusoma neno bila kizingiti . ...Expand
  • @
    @fatmaothmanally94164 years ago Masha allah umeongea maneno mazuri kwel. 2
  • @
    @zuberykharoub68684 years ago Mze wa upako nakuelewaga sana. Gonga like kama unamkubaki anton lusekelo(mzee wa upako) 3
  • @
    @allymohamed86584 years ago Mzee wa upako nimekuelewa, unabusara ya hali ya juu, mungu akutie nguvu na maisha malefu. 6
  • @
    @user-cr9mf7dg4k4 years ago Mwenyez mungu amjalie asimamie dini yake vzr.
  • @
    @nassormakwaya59704 years ago Allah akuzidishie khekima na busara mzee wa upako pia akupe umri mref wenye kher na baraka.
  • @
    @namwanjafakii81564 years ago Paster mmupo good xana, ama keel bibliaww ni mwelevu xana, 4
  • @
    @elisantej55124 years ago Mzee wa upako nimefurahi kuona afya yako imerudi kama zamani. Yesu ni mkuu. 6
  • @
    @daudimichael73384 years ago Hongera sana mzee wa upako kwa busara zako. Ni kweli mungu ameweka njia mbili, ya upotevuni na ya uzimani na ametuachia uhuru wa kuchagua.
  • @
    @rajahally99364 years ago Sawa baba paroko umeongea lamaana hongera sanaa kiongezi wanguu wadini.
  • @
    @andrewmussa93674 years ago Leo, ndo nmeona umeongea point sana, big up sana. 2
  • @
    @dbless3104 years ago Kazungumza maneno mazuri sana kwa mala ya mwanza. 20
  • @
    @gregorychogelo20134 years ago Jamaa angekua hapigi vi sanitizer angekua na akili zaidi ya hapa.
    6
  • @
    @akramissa33934 years ago Huyu mzee kwa mara yakwanza nimekuelewa kaongea point sana. 7
  • @
    @josephatjordan21504 years ago Wnaoelewa hapa ni wale wenye iq kubwa tu au akili nyingi na ambao hawakulisisha dini kama kabila! Dini n uhuru napoint na bila kuchonganisha umetoa uhuru moyo kwa kila mtu. 22
  • @
    @khamysamursally59324 years ago Mm huwa nakupenda sana mungu akusimamie ktk harakati zako.
  • @
    @wazirmlogi75324 years ago Umeongea point sn, yan ni maneno yasiyo na ubaguzi. 5
  • @
    @mohammedabdallah63904 years ago Mzee wa upako kunywa fanta moja nakuja kulipa. 23
  • @
    @tibakisunnahnaasili62504 years ago assalaam allaykum warahmma tullaah wabarakatuh ndg zng mimi ni doctor wa dawa za asili/kisunnah ninatibu magonjwa yafuatayo
    1-u. T. I id="hidden4" sugu
    2-maralia sugu
    3-kichocho
    4-kipanda uso
    5-kisukari
    7-sikoseli
    8-amiba
    9-vidonda vya tumbo
    10- tumbo kujaa gesi
    11- pumu sugu
    12-
    13-maumivu ya miguu
    14- miguu kuvimba
    15- miguu kuwaka moto
    16- nguvu za kiume
    17- nguvu za kike
    18-kukosa hamu ya tendo.
    19- hasira bila sababu
    20- figo
    21- kutoa jini mahaba
    22- kutoa mashetani
    23-kuombewa duaa ktk familia kuwe na utulivu
    24- mtoto kusahausahau
    25- mgongo kuuma
    26-kiuno kuuma saana
    27- macho kuuma
    28- mafua sugu
    29- kikohozi sugu
    30-bawasiri
    31- kukosa hamu ya kula
    32-kifua kubana
    33- gono
    34- kaswende
    35- kisonono
    36- kuharisha
    37- kuondoa chunusi
    38- kutoa sihri mwilini
    39- koo kuuma
    40- na magonjwa mengi pia tunatibu
    41-kukuuza uume kibamia
    42-mafuta mazuri ya nywele
    43-kumbaku (kuota vinyama puani)
    44-na vinyama kwenye koo
    45-fungus sehemu za siri mwanamme na mwanamke
    46-pid kwa wanawake
    47-kuzuia chuma ulete
    pia magonjwa mengi tunatibu kokote ukihitaji dawa inafka kwa uwezo wa allaah
    mawasiliano ni
    +255655245080whatsapp
    +255786153977
    ushirikina kwetu mwiko!
    . ...Expand
  • @
    @farhatfarhat38164 years ago Nimekupenda sana ujapendelea upande mmoja bgp sana.
  • @
    @maalimrajabu16344 years ago Maneno ya mwenye akili hayo hongera sana mchungaji.
  • @
    @ramadhaniabdi95304 years ago Kama ili ni jambo la kwel bhas mungu amsimamie vyema benpol na kama ni kiki bhas mungu atamlipa. 13
  • @
    @zkiduku40684 years ago Ni kweli kila mtu na imani yake maana sote mungu wetu ni mmoja. 24
  • @
    @sharifabdul60854 years ago Safi sana mzee wa upako, na tz ni nchi huru na haifungamani na dini yyte ispokua raia wake wana dini, kwa hiyo maamuzi ni yako kuchagua dini uionayo itakupeleka ktk kupata salama hereafter.
  • @
    @ndekemwaifyusi84994 years ago Mzee wa upako huwa nakuelewa sana. Uelewa wako upo tofauti.
  • @
    @pericykiko61984 years ago Mm unaniudhi tu hio cheni yako usipoivaa utaishika ina nini hio?
  • @
    @saidsalum61014 years ago Kweli mzee waupako umeongea vitu vichache sana ila umeeleweka vizuli sana. 1
  • @
    @hilarykinyekile74334 years ago Tunamuomba mungu mmoja, hakuna shida hapo. 5
  • @
    @afizuboy34334 years ago Ben pol walah aujapotea. Upo katikadini sahihujue kusoma kuran. 7
  • @
    @jumason1424 years ago Mzee wa upako umeongea point sana kweli we ni mkomavu kwenye dini hongera sana. 5
  • @
    @florianhenry71984 years ago Point taken kumbe kabla hujanwa pombe unakuwa na busala.
  • @
    @guledomary28124 years ago Mzee wa upako umeongea vizuri sana. Suala la kubadili dini ni hiari ya mtu hivyo isiwe sababu ya kumkashifu mtu kwa maamuzi yake. Pia inajenga umoja katika jamii. 1
  • @
    @aloycekiwia86134 years ago Afadhali aanze kuimba qaswida aachane na miziki ya kidunia. Uislam hautaki bongo fleva. 2
  • @
    @lusePro4 years ago Kunywa bia mbili hapo nakuja kulipaa umeongea point. 1
  • @
    @kibasamohamedi80294 years ago Umeongea point agiza wine nalipa mimi, utantumia namba ya kulipa pesa. 1
  • @
    @josephphares53344 years ago Mchungaji unaongea utopolo, acha kumpongeza mtu aliyekengeuka. 1
  • @
    @humairamajengo66164 years ago Mleten benpol mwenyew aseme maana anatuchanganya huko insta.
  • @
    @sawdaasawdaa79034 years ago Muisilamu anaongozwa na roho. Sasa kwanini tusijenge umoja na allah kasema tusilazimishi dini ili tujenge tuishiiki na kile ila ya dini anaongoza mwenye enzi allah anasema ishi tuishi nanyi kwa wema ila kwa maisha ya kawaida ki dini kilamu aabudu anaye mutegemeya. Dini ni moja ya uisilamu. ...Expand
  • @
    @omarmchoya3594 years ago Mzee waupaco katka sk umeongea maneno yabusara bs nileo namin naww ipo sik utakuwa wetu tuy! Sema inshaallahha? 10
  • @
    @yangoshatv53274 years ago Amna kabisa ben kakosea mno kutafuta ukoo mpya kidini alikuwa akiwaona waisilamu wamevaa kanz anaumia sana leo kaivaa wazaz umewacha ben.
  • @
    @rehemadearing33564 years ago Nimependa point yake japo mimi ni mkiristo.
  • @
    @mwajumayunus4194 years ago Mzee nimekuona anabusara mno maana wengine yangewatoka maneno.
  • @
    @najma32684 years ago Mimi huwa naamini munguwetu ni mmoja, dini ni kila mtu anaona hii ndo sahihi ndo ntafika salama, lakin, ni je unaamini kuwa mungu yupo, na unamuomba, haijalishi unaomba kwa dini gani au lugha gani mungu wetu husikia popote pale. ...Expand
  • @
    @ibrahimmchucha30344 years ago Nimeelewa apo namna hiyo mzee wa upako safii iyo nzuri bila chuki.
  • @
    @emmadora78484 years ago Angekuwa katoka uisilamu na kaenda ukristo, mzee ungeongea maneno hayohayo lakini hawa watoa pongezi ungewaona sio kwa maneno makali wangetoa, ungesikia mara msiba, mara hasara binadamu hawa mhh.
  • @
    @kiatu4 years ago Ni kweli kabisa sababu ya kubadili dini ni vyema kama sio shinikizo.
  • @
    @youtub83204 years ago Yaani huyu mtu na mimi mawazo yetu nikama mapacha huwa anaongea kitu ninachokiwaza mungu akulinde lusekelo.
  • @
    @mkalijaribu8704 years ago Wachungaji wengi ila huyu jamaa hua namkubali sana japo na mapungufu yake hua anajua kutengeneza peace na harmony kikubwa anachoangalia hua ni ile hali . ...Expand
  • @
    @newttechog754 years ago We mze iyo vita ya kidini itatokea wapi tz uschochee bwana.
  • @
    @kaifaiddy96184 years ago Mzee wa upako ni mtu mwenye akili nzuri kulingana na nafasi yake napia ana hekma. 1
  • @
    @KhadijaKhadija-cv9db4 years ago Mungu anisaidie mm kwakweli maan hp nilipo nipo katikati.
  • @
    @nasserm.nasser50874 years ago Watu maarufu na wenye utajiri ni rahisi kuwa waislamu maana hawana pressure ya kufuata dini za wazazi/jamii zao. Sancho alisilimu mwaka huu pia
    ni wamechoka kufuata dini za urongo ambaxo haziendani na nafsi na maumbile yao. ...Expand
  • @
    @josephmusagasa55664 years ago Ya mungu mpe mungu na ya kaisari mpe kaisari, kuwa wazi mzee wa upako, usiongee kwa kupotosha.
  • @
    @mathewdeus44624 years ago Sina comments nimejikuta nabonya bonya battan. 1
  • @
    @emmanuellaurent22344 years ago Akili kubwa hii. Hujawahi niangusha mzee wa upako.