Duration 2:20

Wizara ya Afya Tanzania inamtafuta mtaalamu wa afya aliyeshona jeraha na kisha kulifumua.

131 watched
0
0
Published 4 Sep 2021

#VIDEO Wizara ya Afya Tanzania inamtafuta mtaalamu wa afya aliyeshona jeraha na kisha kulifumua kwa madai ya kwamba mgonjwa huyo alishindwa kulipia gharama za matibabu. Wizara imeomba kwa mwenye taarifa zaidi kuhusu video hii atume SMS kwa Waziri Dkt, Dorothy Gwajima kwa namba 0734124191.

Category

Show more

Comments - 0