Duration 4:53

TFS NA TEMBO WANATESA WANANCHI WA MVOMERO.@doella tv

221 watched
0
1
Published 7 Jun 2021

Akiongea kwa hisia Kali Sana , mheshimiwa mbunge wa Jimbo la Mvomero ndugu Jonas Van Zeeland alisema TFS wanakuwa KIKWAZO KWA wananchi kwa kuzuia wananchi kuvuna mazao yao BAADA ya kukomaa. Pia ndugu Zeeland Aliongelea kwa uchungu Sana Jambo la tembo namna linavyotesa wananchi wa kata za Doma, MANGAE, MELELA, LUBUNGO na msongozi.

Category

Show more

Comments - 1