Duration 3:11

Lissu aondolewa kizuizi na Polisi, atiririka kingereza akitoa la moyoni kuhusu kuzuiliwa huko.

169 watched
0
2
Published 7 Oct 2020

#LISSU #CHADEMA #PWANI #UCHAGUZIMKUU #URAIS2020 #TANZANIA Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. #TunduALissu umeondoka na kuelekea Mlandizi mara baada ya kuwekewa zuio na Jeshi la Polisi eneo la Kiluvya mkoani Pwani.

Category

Show more

Comments - 0