Duration 6:13

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema kuwa wamehakikisha usalama wa asilimia 777

29 watched
0
0
Published 28 Oct 2020

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema kuwa wamehakikisha usalama wa asilimia 777 hivyo wananchi wajitokeze kupiga kura kuchagua viongozi wanaowataka. "Ukimaliza kupiga kura nenda kanywe bia, wanaosema watakaa kulinda kura wala msiwe na wasiwasi nao, hivi ukiweka pesa azko benki unakaa hapohapo benki kuzilinda?"

Category

Show more

Comments - 0