Duration 2:8

WAZIRI LUKUVI AKUTANA NA VILIO KERO ZA ARDHI MKOANI ARUSHA.

220 watched
0
1
Published 3 Jun 2021

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi asikiliza baadhi ya kero za ardhi za wakazi wa Arusha na kuzipatia ufumbuzi. Wakati akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Lukuvi alikutana na baadhi ya wakazi walio na kero zao za migogoro ya ardhi ambao walimfikishia na kutoa baadhi ya maelekezo.

Category

Show more

Comments - 0