Duration 1:39

Baadhi ya Wakenya waelezea hofu kuhusu chanjo ya Corona

2 912 watched
0
14
Published 2 Mar 2021

Wakenya wameelezea hisia tofauti kuhusiana na chanjo ya corona inayowasili nchini hii leo huku baadhi wakisema kuwa kuja kwa chanjo huenda kukaokoa wakenya kutokana na maafa ya janga la corona. Hata hivyo, kuna wale ambao wanahisi kuwa Kenya haiko tayari kwa chanjo hiyo.

Category

Show more

Comments - 18