Duration 22:8

Highlights: Simba SC 3-0 Gwambina FC - VPL

1 085 104 watched
0
3 K
Published 26 Sep 2020

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, wamepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Gwambina FC katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Benjamini Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Mmedie Kagere, Chris Mugalu na Pascal Wawa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 364