Duration 35:30

KUINULIWA KAMA NDOTO (KUWA NA UWEZO WA KUBEBA TATIZO.)

107 watched
0
1
Published 16 Jan 2021

Kuinuliwa kwa watakatifu ni mpango wa Mungu. Lakini unapofika wakati wa Mngu kumwinua mtu,huangalia kama ana sifa zinaziendana na ufalme wake. mija ya sifa ni kuwa na uwezo wa kubeba tatizo kama ikivyokuwa kwa Yusufu. Asante kuendelea kuwa mwanafamilia wa Chemchem tv.

Category

Show more

Comments - 0