Duration 4:12

TASWIRA KIMATAIFA : Naftali Bennet aanza muhula wake wa uwaziri mkuu nchini Israel

65 watched
0
3
Published 15 Jun 2021

Waziri Mkuu Mpya Wa Israel Naftali Bennet Amelitambulisha Baraza Lake Jipya La Mawaziri Jumatatu Tarehe 14 Juni 2021 Likiwa Na Watu 27. Mawaziri Hao Wapya Wamekutana Na Rais Reuven Rivlin Mjini Jerusalem Na Kupiga Picha Kama Ilivyo Desturi Nchini Humo Kwingineko, Mkutano Wa Wakuu Wa Na Serikali Za Jumuiya Ya Kujihami Ya Nchi Za Magharibi Nato Ulianza Jumatatu, Juni 14 Huko Brussels Nchini Ubelgiji, Katika Makao Makuu Ya Shirika Hilo. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #NATO #NaftaliBennet

Category

Show more

Comments - 0