Duration 1:33

KAULI YA JESHI LA ZIMAMOTO BAADA YA MOTO KUTEKETEZA SOKO KUU KARIAKOO

128 798 watched
0
425
Published 11 Jul 2021

Kutoka hapa Kariakoo, Dar es salaam muda huu, Soko Kuu la Kariakoo linateketea kwa moto, bado chanzo hakijajulikana na tayari Vikosi vya Zimamaoto na Uokoaji pamoja na Vyombo vingine vya usalama vinaendelea na shughuli za kuzima moto huu.

Category

Show more

Comments - 106