Duration 7:39

Mh. Omar Issa Kombo aitetea Zanzibar katika masuala ya muungano kwenye bajeti ya wizara ya Fedha JMT

264 watched
0
2
Published 19 Jun 2021

Mbunge wa jimbo la Wingwi lililopo kisiwani Pemba ameitaka wizara ya Fedha kuzingatia masuala muhimu ya mapato yanayotokana na mitandao kufika na zanzibar katika shughuli za maendeleo kwakuwa hata wa Zanzibari wanachangia katika mapato hayo. Aidha, ameitaka pia serekali kurekebisha kanuni za masuala ya uvuvi ili kuhakikisha kuwa tija inapatikana kwa wavuvi kwakuwa wengi wamekuwa wakikosa leseni za uvuvi kwa kisingizio kwamba kanuni zinakataa kufanyika kwa jambo hilo. Ameyasema hayo katika bunge la bajeti lililokuwa linaendelea ambapo ilikuwepo ikisomwa na Waziri wa Fadha na Mipango Mh. Mwigulu Lameck Nchemba.

Category

Show more

Comments - 1