AIC DAR ES SALAAM CHOIR
Tunakukaribisha kutazama wimbo Maalum kwa ajili ya Kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Ahimidiwe BWANA Mungu wetu sifa zote ni zake
#ATURUZUKUYE
Category
Show more
Comments - 44
@
@jifunzekuhusuwewe74754 years agoKitambo sanaa hu wimbo ila da kuna namna mmeibadilisha umeondoa vionjo vya kale daa mmeweka vya ujanani.
@
@elisha.mwabwagilo8 months agoPraise the lord. wapendwa wekeni album nzima ya aturuzukuye, mfanyieni bwana shangwe. Basi kwa kuwa kristo aliteswa.
@
@neemamponji27203 years agoMimi naomba ule wa christmas, yusuphu na mariam walikwenda, uyahudi ili kuwa ni kwa majina. wageni wengi wamejaa kwako, yesu amekosa pa kuzaliwa. mtuwekee tafadhari.
@
@leonardbuswelu53895 years agoNimerikiwa saana na hii nyimbo imetulia.
@
@micatunestudio72105 years agoDa! Huu wimbo wa siku nyingi sana mungu awabariki sana watumishi wa mungu.
@
@florameza95295 years agoWimbo unanikumbusha msiba wa mwl nyerere uliimbwa huu wimbo mpaka basi aic mko juu. 1
@
@danielmnyaga5 years agoThis song is just anointed ever since god bless you.
@
@wilsonkaseha20344 years agoSo touching really! Barikiwa mtunzi kwa neema ya kipaji, na waimbaji safii.
@
@edwardisack18905 years agoHongera sana, nimependa sana huu wimbo hasa sauti zimetulia good.
@
@sapiensiajoely228last yearMerce nyagwaswa yuko wapi jamn? Nampenda sn tangu nikiwa mdogo.
@
@jescaful5 years agoThis is new version is brilliant, it' s one of my favorate old songs from 19s. Music now is more combined and well cordinated, keep improving & god bless. 5
@
@mercykelly99145 years agoHappy to see you again after a while i' m your fun from kenya much love to you and great job. 2
@
@pharesmitarya48925 years agoNimeutafuta sana huu wimbo mbarikiwejinsi maombolezo ya baba wa taifamercy nyagaswa sijamuona hapo, nakumbuka aliongoza huu wimbo, mara ya mwisho nilimuona akiwa mtangazaji, kwa sasa sijui yuko wapi. ...Expand1
@
@jasteve25 years agoKazi nzuri sana ila mercy angemalizia kule mwisho ingekuwa balaa zaidi. Hongereni sana. 2
@
@kingtoldipset70505 years agoIndeed. But i lost my vhs of the very first and origin aturuzukuye video album, where can i geta copy? Some help please! I have been blessed by the messages from it all these years.
@
@mulokozimwijage75074 years agoMmeimba vizuri sana, hata " body language" inaonyesha mnaimba toka kwenye vilindi vya nafsi zenu. Nimewapenda sanaa.
@
@innocent910445 years agoMungu awabariki kwa kazi njema wapendwa wa ktk bwana. 1
@
@protasjoseph66325 years agoNimeupenda sana. Ila duh. N wengine wangeimba pia.
@
@pharesmitarya48925 years agoNimeutafuta sana huu wimbo mbarikiwejinsi maombolezo ya baba wa taifamercy nyagaswa sijamuona hapo, nakumbuka aliongoza huu wimbo, mara ya mwisho nilimuona akiwa mtangazaji, kwa sasa sijui yuko wapi. ...Expand1
Related videos for AIC DAR ES SALAAM CHOIR - ATURUZUKUYE (OfficialVideo):
wapendwa wekeni album nzima ya aturuzukuye, mfanyieni bwana shangwe. Basi kwa kuwa kristo aliteswa.
wageni wengi wamejaa kwako, yesu amekosa pa kuzaliwa.
mtuwekee tafadhari.
god bless you.
i' m your fun from kenya
much love to you and great job. 2