Duration 10:28

RPC Muroto kaja na hii nyingine, Madereva Dodoma wapata tabu sana

340 920 watched
0
1.2 K
Published 5 Jul 2018

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma likiongozwa na RPC Gilles Muroto limeanza operation ya kukagua na kukamata madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani pamoja na wenye magari mabovu ambapo hadi sasa zaidi ya magari 30 yakiwa yamekamatwa huku wahusika wakitarajiwa kufikishwa Mahakamani muda wowote ili waweze kushugulikiwa kwa mujibu wa sheria.

Category

Show more

Comments - 393