Duration 3:48

Miili ya wanajeshi waliofia Sudan yawasili Tanzania

220 103 watched
0
387
Published 20 Jul 2013

Vilio majonzi na simanzi vimetawala katika uwanja wa kimataifa wa mwalimu Julias Kambarage Nyerere wakati ndege yenye namba B 737-400 iliyobeba miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha nchini sudan ilipokuwa ikikanyaga katika ardhi ya tanzania tayari kupokelewa na ndugu jamaa na marafiki.

Category

Show more

Comments - 28