Duration 4:35

MANARA AWE NA ADABU, MIMI MKUU WA WILAYA AKILETA MDOMO SAA 48 ZINAMUHUSU-JERRY MURO

106 765 watched
0
466
Published 25 Feb 2020

Afisa habari wa zamani ambaye ni mkuu wa wilaya ya Arumeru kwa sasa Jerry Muro amerejea Dar es Salaam akiwa likizo na amekutana na waandishi wa habari leo na kuongea nao kuhusiana na masuala yanayohusu club yake ya Yanga wakati huu ambao Yanga haijapata matokeo kwa mechi nne mfululizo, Jerry hakusita kuwacharura watani zao Simba SC hususani swahiba wake Haji Manara.

Category

Show more

Comments - 420