Duration 10:38

NANG'ARA - Christina Shusho Ft ROC Worshipperz

5 271 watched
0
110
Published 13 Oct 2021

Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Wee umenifanya ning'are Yesu Wewe waitwa nuru Eti nuru ya watu Ukiingia kwangu mi nang'ara Ndani ya hiyo nuru Eti kuna uzima Ukiingia kwangu nina uzima Uso wake Yesu aliye sura yake Mungu Umeingia kwangu mi nang'ara Nuru ya injili utukufu wake Kristo Umeingia kwangu mi nang'ara Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Wee umenifanya ning'are Yesu Iinuka uangaze weh! Nuru yako imekuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Mataifa watakujia Wafalme watakuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Iinuka uangaze weh! Nuru yako imekuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Mataifa watakujia Wafalme watakuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Wee umenifanya ning'are Yesu Halleluyah! Kumtumikia Mungu kuna faida! Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu YESU! Thunder ni ibada ya maalum ya kusifu na kumuabudu Mungu zinazofanyika kila mwezi katika Kanisa la The Reality Of Christ Ministry,Sinza ,Mori Dar-Es-Salaam jirani na ofisi za TAMWA.Ibada hizi zinaongozwa na Roc Worshiipperz. #RocWorshipperz #Christinashusho

Category

Show more

Comments - 18