Duration 4900

Skauti Mkuu anena mazito mkoani Tanga

490 watched
0
16
Published 25 Oct 2021

Skauti Mkuu Hajjat Mwantumu Mahizza amesema iwapo kila mmoja akichukia rushwa na kutekeleza wajibu wake nchi itabadilika. Skauti Mkuu amesema hayo jijini Tanga leo Jumatatu Oktoba 25, wakati akizindua mafunzo ya Mwongozo kwa Wawezeshaji Kufundisha Vijana wa Skauti kuhusu kuzuia na kupambana na rushwa.

Category

Show more

Comments - 1