Comments - 108
  • @
    @eliasmhagama49782 years ago Bwana yesu akutunze na azidi kukuinua katika huduma njema aliyoweka ndani yako. Barikiwa sana. 1
  • @
    @reginaldipeter22722 years ago Hallelujah hongera sana wimbo umekuja kwa wakati kwangu asanye. 1
  • @
    @mercychepkirui39245 years ago So touching song, may god bless you my sister.
  • @
    @ajeofficial1last year Barikiwa sana
    na mungu aseme na moyo wako.
  • @
    @anaclethmeshack79442 years ago Tunatamani urudi katika uimbaji huu unaomtukuza mungu kuliko ujinga ulioufanya kwenye nyimbo zako wa lango pamoja na fire.
  • @
    @jelesjames35103 years ago Saut nzur sana, wimbo wako pia unanibariki sana. Mungu azidi kubariki kipaji chako.
  • @
    @damariskabei70535 years ago This song always breaks me. Ooh lord speak to me. 1
  • @
    @princesslowasa52337 years ago Nice song it bless my life. Jesus say in my heart love it bless you miriam.
  • @
    @videogospel9956 years ago Wow. What a beautiful song. I feel blessed.
  • @
    @lulufalagha46936 years ago Uh nakumbuka nilipokua mtoto mdogo nilikua nauskiza huu wimbo kwa kanda uklinibariki tangu utoto mpaka sasa utu uzima bado nabarikiwa. 1
  • @
    @emilianamassawe85836 years ago Sema nam yesu sema na watoto wangu mungu uwii dada ubarikiwe mungu akubariki sana uduma yako yauimbaj ifike levo ya juu sema na taifa letu la tanzania.
  • @
    @zakayoseeko57706 years ago Sema na moyo wangu bwana ubarikiwe mtumishi wa mungu kwaujumbe mzuri.
  • @
    @wakalingati66276 years ago Sema na moyo wangu bwana. Be blessed my sister. 1
  • @
    @bitonmwansile73776 years ago Ameen wimbo mzuri saana + uimbaji mzuri unabariki sana.
  • @
    @magejoseph92584 years ago Baba sema na moyo wangu sema nami baba kwani majalibu ni mengi sema na moyo wangu baba.
  • @
    @lucypenfod85166 years ago Amina sema na moyo wangu baba barikiwa sana. 2
  • @
    @lucybenjamin95406 years ago Sema na
    sema na
    sema na moyo wangu
    sema na
    sem na
    sema na moyo wangu . Be blessing.
  • @
    @elizabethmyamba7666 years ago Sema na moyo wangu juu ya maisha yangu baba.
  • @
    @libarikiarajackson6 years ago Ubarikiwe sana dada angu entelea kwabudu.
  • @
    @a2gmgimwa36 years ago Amen, rebeca malope wa bongo umeshapatikana.
  • @
    @martinshirima23036 years ago Beautiful rhythm corresponding bit fun.
  • @
    @happybalama35916 years ago Naupenda sana nikitaka kuomba huwa nauimba sana.
  • @
    @newtonerwaga34018 years ago I come from a very small town in uganda that is called moyo.