Duration 3:37

TAZAMA LULUDIVA AKIONGEA KWA UCHUNGU, MAZISHI YA MAMA YAKE ANAHITAJI SANA DUA

105 730 watched
0
548
Published 22 Dec 2021

Mwili wa Mama Mzazi wa Msanii wa Bongofleva Lulu Diva umezikwa nyumbani kwao Muheza, Tanga Disemba 21, 2021 mchana baada ya kufariki juzi Jijini Dar es salaam.

Category

Show more

Comments - 76