Duration 4:48

MAKTABA HURU: Majaji Watatu Kumshughulikia Mtuhumiwa wa Mauaji ya Mamilioni Rwanda

426 watched
0
2
Published 4 Oct 2020

Kamati ya Umoja mataifa kuhusu mahakama za uhalifu imewateua majaji hao kutoka mataifa ya Uskochi, Uruguay na Uganda kusimamia kesi ya Kabuga atakapowasilishwa katika mahakama ya Tanzania kujibu mashtaka ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda.

Category

Show more

Comments - 1