@khamiskasulwa81314 years agoHongera sana dr. Tumefurahi sana kwa ushindi huo na sasa imebaki kukupa jimbo tu, na tunakupa. 3
@
@malingazeboss93514 years agoTulia hawez chukua jimbo la mbeya labda akagombee majimbo yaliyo jaa mashoga lakin kwa mbeya town tulia hachukui kiti.
@
@evansmlalo40494 years agoWatu wa mbeya mkiuza jimbo ccm mimi nitawashangaa sana. Dunia nzima lazima kuwe na vyama vya upinzani ili serekali iliyoko madarakani ifanye kazi.
@
@rashidiwhite56464 years agoNyiee ccm nyiee sio kila milango mnayopanga owe hivyoo wanambeya tulipotee sugu lila kituu hapo snache kubuluzwa kama wayao wameshindwa kupeleka lami hata hosp polis, bomani hata kwenye ofisi yako ya ccm duu. 1
@
@teddykanondo57534 years agoWwatanzania bwana wa ajabu sana. Watu wa mbeya jimbo lenu abaki kuwaacheni kununuliwa na ccm.
@
@mohamedjeizan59294 years agoWambeya wasipo kuchaguwa kwenye uchaguzi mkuu watakuwa wamepoteza bahati ya mtende. 1
@
@georgembilinyi28244 years agoWe kama mama yangu endelea na mamb mengine au kumsaidia mmeo baadhi ya mambo nyumbuni hapa mbeya akuna wa kumtoa brathermbeya kama rais wetu.
@
@eddynyaki55394 years agoAshukuriwe mungu! Hongera sn mbunge mpya ajae wa mbeya mjini mungu azidi kukujakia afya njema.
Related videos for DK TULIA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI, UCHAGUZI CCM JIMBO LA MBEYA: